Usajili Simba SC: Hawa Ndio Wanabaki, Wanaoondoka na wanaotarajiwa Kusajiliwa

yule mghana alikuwa anasifiwa mdogo wake assamoah gyan kaishia wapi simba kumejaa wapigaji kama usajili wangesajili kocha mpya kila mechi anajihami hata na vitimu vidogo
 
Uyo sakuwaha anakuja km mchezaji au kocha?maana keshakua kaka yao na akina messi na CR7 aseee
 
Simba naona upigaji dili unaendelea na hivi hela safari hii hawatoi FoS ,anatoa tajiri,kazi ipo
 
Inashangaza simba kutamba imefanya mabadiliko na mambo yatakwenda kisasa.Leo tunaskia kuna MTU anaitwa sekuwaha mwenye miaka 33 ndio striker anaesajiliwa.kweli karne hii unafanya usajili wa gharama kwa mchezaji wa umri huu?kwa malengo gani au kwa nia gani?
 
Huu upuuzi hadi lini?mwanjali unamuachaje aingie sakuwaha?huu ni ushuzi usiovumilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…