Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MonacoNi mchezaji wa Togo? Ama Senegal
Yanga ina kikosi bora ila tatizo mpunga, mpunga, mpunga. Pia timu haina morali ya ushindi na hiyo morali unaitengeneza kwa mpunga, mpunga, mpunga. Huna pesa umekwisha.Hivi wana tatizo na Straika kwa sasa. Naona wangejikita na kulipa mishahara kwa walikuwa nao..
[emoji196] [emoji196]
hyu dogo wanam overrate sana ni wa kawaida mno!! nafasi kumi atakosa tisa atafunga moja!!!
Huyu kwa vile ameifunga Simba SC, ndo namna yao ya usajili