Usajili Tanzania: Yanga SC yamuomba Mshambuaji Adam Salamba wa Lipuli FC

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Klabu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es salaam tayari imetangaza kuwaandikia barua klabu ya soka ya Lipuli FC ya mkoani Iringa, kumuomba Mshambuaji Adam Salamba kwa ajili ya Caf Confederation Cup.
 
Hajar.. Njoo huku mtani, unaomba mchezaji? weka mpunga mezani aisee!
 
Hivi wana tatizo na Straika kwa sasa. Naona wangejikita na kulipa mishahara kwa walikuwa nao..
[emoji196] [emoji196]
Yanga ina kikosi bora ila tatizo mpunga, mpunga, mpunga. Pia timu haina morali ya ushindi na hiyo morali unaitengeneza kwa mpunga, mpunga, mpunga. Huna pesa umekwisha.
 
Yale Yale ya Gadiel Michael kulia lia kwa Azam. Yanga wamepoteana
 
Tatizo LA Simba na Yanga pakitokea mchezaji akiifunga moja ya timu basis huyo ni wakumsajili wapi alipo Atanasi, Busungu au Nonga?
Yanga wapate forward waakili toka nje ya nchi ambaye anauwezo mkubwa kama Tshishimbi waachane na Tabwe Ngoma hata Kamusoko



hyu dogo wanam overrate sana ni wa kawaida mno!! nafasi kumi atakosa tisa atafunga moja!!!
 
Huyu kwa vile ameifunga Simba SC, ndo namna yao ya usajili

yaani kitendo cha kumlalia mlipili na ku turn na kufunga kimempa credit mpk anaonekana bonge la straika.....

wamenikumbusha watani walivyopigana vikumbo kumsajili ally shiboli baada ya kuonyesha makeke ndani ya dk 45, mwisho wa siku simba walifanikiwa kumsajili...ila jamaa alikuwa bonge la garasa!!!

mi nachojiuliza hivi hawa viongozi wetu hawajifunzi kutoka kwa wenzao wa ulaya?
kwa wenzetu mchezaji kabla hajasajiliwa wanafanya upembuzi yakinifu wa hali ya juu kabla ya kumnunua ila bongo full kukurupuka yaani mihemko na mahaba ndyo inaowapelekea kusajili mchezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…