Usajili uliokamilika dirisha dogo

Wageni wawili wameingia wanaotoka ni kina nani?
Bado haijawekwa wazi na uongozi,makubaliano ya pande mbili yanaendelea.....ukifikiwa mwafaka taarifa itatolewa
 
Baleke na Philli THANK YOU[emoji120][emoji120]
 
Mkuu, Salehe Karabaka ametokea JVZ na siyo JKU ya Zanzibar?
 
Edwin Barua to SIMBA SC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…