Usajili uliosababisha Chelsea kufungiwa

Usajili uliosababisha Chelsea kufungiwa

franknombo

Senior Member
Joined
Mar 30, 2019
Posts
170
Reaction score
177
Wadau naomba kuulza ni mchezaji gan aliyesajiliwa na Chelsea aliyewapelekea kufungiwa kusajili
 
Bodi ya uongozi na usajili kwa Chelsea zote zinatakiwa kusambaratishwa maana zinazingua sana.
 
Chelsea hii timu yangu inataka kuwa Kama asenane ispojiangalia
 
Mie naona ni bora tu ivo walivyofungiwa mana hata hizo sajili zao huwa ni za Ovyo sana.
 
Hako Ka Traore kapuuzi kweli. Kameiingiza timu kwenye mkenge halafu mwisho wa siku kameishia kuwa kachezaji ka mkopo tu kwenye vilabu vingine.
 
Heading imekaa kishakunaku sana!
 
Back
Top Bottom