Tetesi: Usajili wa ACT kuelekea 2020

Tetesi: Usajili wa ACT kuelekea 2020

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Jamaa baada ya kuona cdm kupitia sugu na jay wameongeza idadi ya waleta ruzuku chamani na wao wapo sasa kwenye mazungumzo na wafuatao
Roma-Tanga
Stamina - Morogoro
Mc pilipili- Chamwino
Fid q - Nyamagana
Masanja- Njombe
Nikki wa pili- Arusha
Jay dee - Rorya
Kala Jeremiah - Ilemela
 
Hapo stamina na masanja hawawez kupata kura. Halafu kala na Roma sidhani kama wanaweza kusimama ccm
 
Jamaa baada ya kuona cdm kupitia sugu na jay wameongeza idadi ya waleta ruzuku chamani na wao wapo sasa kwenye mazungumzo na wafuatao
Roma-Tanga
Stamina - Morogoro
Mc pilipili- Chamwino
Fid q - Nyamagana
Masanja- Njombe
Nikki wa pili- Arusha
Jay dee - Rorya
Kala Jeremiah - Ilemela
Hii ni habari au taarifa?
 
Nakushauri ulichovuta au kunywa USIKIRUDIE tena kwa afya yako.
 
Ndio maana JF threads 1200000 + ,ila memba ni 460000+
 
ndo maana Msukuma alisema bangi iruhusiwe maana inaleta mzuka
 
Back
Top Bottom