Usajili wa kampuni.

RAYAN THE DON

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2019
Posts
679
Reaction score
1,218
Habari wakuu wa JF.

Napenda kuwatangazia na kuwafahamisha kwamba ninawezesha na kusaidia kusajili kampuni kwa njia ya mtandao kwa muda usiyozidi siku mbili . Hivyo basi nasajili kampuni za wenyeji au Watanzania ( local Company) na wasio watanzania (FOREIGN COMPANY).

I) Pia najishughulisha na uaandaji wa MEMARTS
II) katiba mbalimba za vikundi.
IV) Hati miliki.
V) Kusajili jina la biashara.
vi) kuandaa Annual return.
vii) kuandaa tenda mbalimbali
viii) Kufanya marekebisho ya jina la kampuni au jina la biashara.
ix) Nasaidia katika mauzo ya hisa mfano kuandaa mikataba ya mauziano ya hisa, hati ya hamisho la hisa.
xi) Kusimamia mauzo ya viwanja, nyumba, shamba, gari n.k
x) Bila kusahau mikataba ya mauzo ya kiwanja, nyumba, pango , gari na mikataba mbalimbali.
x) kusaidia usajili wa leseni ya biashara n.k


MWANAJF karibuni sana kwa huduma bora kwa bei rahisi sawa na bure ambayo itakusaidia kupunguza gharama pamaoja na kutunza muda wako. Pia hautajutia kamwe kufanyiwa kazi na bwana RAYAN THE DON.

TEL: +255679321531.
 
Nataka kubadili jina la kampuni, utanifanyia bei gani?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…