habari wakuu,naombeni msaada juu ya hili suala,je ni taratibu zipi za mwanzo mpaka mwisho ambazo zinatakiwa zifuatwe wakati unataka kusajili kampuni?
natanguliza shukrani,ukinisaidia mm na imani utakua umesaidia na wengine wengi