Sipendi sana kuongelea timu lakini kuna wakati nalazimika kufanya hivyo.
1. Usajili wa Kisinda na Morrison
Ni kigezo gani viongozi wa yanga walikitumia kuwarudisha hawa mabwana wawili huku wakijua kuwa haukuwa muda mwafaka kwa wao kurudi yanga? Binafsi naona kisinda hana mali tena na morrison ana mali lakini ana mentality kuwa yeye ni mkubwa kuliko yanga. Hivyo hawa hawana msaada kwa timu. SIASA
2. Usajili wa Wakongoman
Ukiangalia kikosi cha yanga kwa sasa utagundua kuna wachezaj zaidi ya watano walikuwa kikosi cha kwanza cha AS VITA iliyofungwa nje ndani na simba msimu ule simba ameongoza kundi. Kufungwa huko kulidhihirisha kuwa As vita haikuwa na wachezaji wa kushindana kimataifa, cha ajabu hao hao wakahamishiwa yanga ili waisaidie timu kimataifa. SIASA
3. Usajiri wa Stephane Aziz Ki
Simba walifanya makosa makubwa ya kutaka kumsajili Azizi ki eti kisa kawafunga kwenye hatua ya makundi. Azizi alishindwa kuivusha timu yake kwenda robo fainali. Wakati simba anahangaika ma Azizi, yanga waliruka nae juu kwa juu wakamchukua. Sawa azizi ki ni mchezaji bora wa ligi ya ivory cost msimu uliopita, kama ambapo hapa mtu fulan alikuwa mchezaj bora wa ligi yetu, lakini je, yanga walifanya vetting ya kujua mafanikio ya azizi kimataifa? SIASA
Ushauri
Timu zetu zinaposajili kwa ajili ya kimataifa zisajili watu wa kazi sio masupersta uchwara wakuja kula hela na kuruka ruka uwanjani.