Mosse Anney Member Joined Feb 6, 2019 Posts 11 Reaction score 3 May 4, 2019 #1 Habarini wadau napenda kuuliza nikiwa nimeandika kitabu changu kidogo cha ujasiriamali nilazima kisajiliwe au na weza kukiuza bila usajili wowote? na nikinanani wanahusika na usajili?
Habarini wadau napenda kuuliza nikiwa nimeandika kitabu changu kidogo cha ujasiriamali nilazima kisajiliwe au na weza kukiuza bila usajili wowote? na nikinanani wanahusika na usajili?
Avriel JF-Expert Member Joined Jun 25, 2017 Posts 4,950 Reaction score 5,378 May 4, 2019 #2 Ni muhimu kusajiri...