Usajili wa Lionel Messi utaifanya PSG kuwa ya moto sana

Wakija Old Trafford tunawadunda tu kama kawa kama dawa
 
Acheni kujipa matumaini hewa, PSG hawezi kumchukua Messi. Mahesabu yatagoma, Messi ni kama ataelekea Chelsea.
 
PSF ndio club itakayomudu gharama za malopo ya messikwa sasa. Na hii corona sioni kama kuna club nyingine itakayoweza kumudu.
Mzee una haraka kuliko haraka yenyewe, soma kwa makini ulichoandika
 
Yaani leo Ramos na Messi timu moja!!!
 
Hao wooote kiboko yao Ngolo Kante.
PSG ikikutana na Chelsea ni kichapo tu, hatuangali sura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…