Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,273
- 13,567
Wana Uzi wao humu ndani watafute Huwa wako active kiasi.Nimeshawapigia huduma kwa wateja ya TANESCO zaidi ya mara 3 tangu tarehe 5 Aprili 2024 lakini hakuna solutions waliyofanya.
Nchi imejaa watu wa ajabu sana kwenye ofisi za umma.
Refusha mkono watu wafanye kazi. Kwani afu 50 kitu gani? Si Konyagi kubwa 1 VIP?Nimeshawapigia huduma kwa wateja ya TANESCO zaidi ya mara 3 tangu tarehe 5 Aprili 2024 lakini hakuna solutions waliyofanya.
Nchi imejaa watu wa ajabu sana kwenye ofisi za umma.