Usajili wa Manzoki Simba kutoka China hadi Tanzania ni Siku ngapi?

Usajili wa Manzoki Simba kutoka China hadi Tanzania ni Siku ngapi?

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Hatimaye ni miezi kadhaa sasa imepita tangu tuambiwe Manzoki kapanda ndege kutoka China kwa ajili ya kuja kusinya pale Simba.

Ajabu Manzoki hafiki tu, sijawahi kufika China nisiwe mwongo sijui umbali wa kutoka china hata Tanzania ni miezi mingapi ila naimani humu kuna watu wamefika China watusaidie ni miezi mingapi.

Sitegemei kama Manzoki anakuja na Meli za mizigo manake viongozi wetu wana Simba walitwambia jamaa anakuja na Ndege tukusanyike Airport na maua yetu kwa ajili ya kumlaki Mwamba.

Kama kuna mwanasimba anataarifa sahihi ni lini ndege inafika ni vema akashare nami taarifa ili nijiandae kwenda airport.

Ntashukuru kwa Taarifa wanasimba wenzangu.
 
Tulia du, ili dawa ifanye kazi lazima kuwe na maumivu
 
Kuwa mvumilivu yuko njiani anakuja, meli aliyopanda ilipata hitilafu njiani.
 
Back
Top Bottom