Usajili wa namba mpya za pikipiki

Usajili wa namba mpya za pikipiki

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
TRA imesema kuwa mwisho wa usajili wa pikipiki hizo kwa hiari unaelekea ukingoni. Hivyo basi, amewaomba ambao hawajasajili wafanye hivyo mapema ili kuepukana na usumbufu wanaoweza kukumbana nao.
 
Na kwa kweli muda walioutoa na kuuongeza ni wa kutosha sana, siamini kama hatua zikianza kuchukuliwa watalalamika wadau wa usafiri huo.

Ahsante!
 
Na kwa kweli muda walioutoa na kuuongeza ni wa kutosha sana, siamini kama hatua zikianza kuchukuliwa watalalamika wadau wa usafiri huo.

Ahsante!

Ndugu yangu, watu wa kulalamika huwa hawakosi hata kama wanajua makosa yao.
 
Back
Top Bottom