mende 2014 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 763 Reaction score 131 Nov 26, 2015 #1 TRA imesema kuwa mwisho wa usajili wa pikipiki hizo kwa hiari unaelekea ukingoni. Hivyo basi, amewaomba ambao hawajasajili wafanye hivyo mapema ili kuepukana na usumbufu wanaoweza kukumbana nao.
TRA imesema kuwa mwisho wa usajili wa pikipiki hizo kwa hiari unaelekea ukingoni. Hivyo basi, amewaomba ambao hawajasajili wafanye hivyo mapema ili kuepukana na usumbufu wanaoweza kukumbana nao.
Kitang'wa1 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2014 Posts 460 Reaction score 285 Nov 26, 2015 #2 Na kwa kweli muda walioutoa na kuuongeza ni wa kutosha sana, siamini kama hatua zikianza kuchukuliwa watalalamika wadau wa usafiri huo. Ahsante!
Na kwa kweli muda walioutoa na kuuongeza ni wa kutosha sana, siamini kama hatua zikianza kuchukuliwa watalalamika wadau wa usafiri huo. Ahsante!
mende 2014 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2014 Posts 763 Reaction score 131 Nov 26, 2015 Thread starter #3 Kitang'wa1 said: Na kwa kweli muda walioutoa na kuuongeza ni wa kutosha sana, siamini kama hatua zikianza kuchukuliwa watalalamika wadau wa usafiri huo. Ahsante! Click to expand... Ndugu yangu, watu wa kulalamika huwa hawakosi hata kama wanajua makosa yao.
Kitang'wa1 said: Na kwa kweli muda walioutoa na kuuongeza ni wa kutosha sana, siamini kama hatua zikianza kuchukuliwa watalalamika wadau wa usafiri huo. Ahsante! Click to expand... Ndugu yangu, watu wa kulalamika huwa hawakosi hata kama wanajua makosa yao.