Wadau naombeni msaada wa kujua jinsi ya kuendesha Nursery School na taratibu za kuisajili kama kuna mtu anamchanganuo wa gharama zote hadi uanzishaji na mbinu mbalimbali za kukamata wanafunzi.
Sawa mkuu.nijibu swali hili ili nikupe maelekezo yatakayo kusaidia kusajili na kuendesha NURSERY SCHOOL.
1.ni NURSERY SCHOOL au DAY CARE CENTRE?wengi wetu huchanganya kati ya nursery na day care .
Sawa mkuu.nijibu swali hili ili nikupe maelekezo yatakayo kusaidia kusajili na kuendesha NURSERY SCHOOL.
1.ni NURSERY SCHOOL au DAY CARE CENTRE?wengi wetu huchanganya kati ya nursery na day care .
Shukran kwa kujitokeza kunisaidia ni Nursery School nahitaji watoto kuanzia miaka mitatu mpaka minne
Pia kama unaweza ukanieleza yote hayo nitashukuru kwani ndio chanzo cha kujua mengi hata nikitaka na day care centre nifanye pia >Ubarikiwe nasubiri makjibu yote hayo.