Usajili wa Okrah Yanga ni ushahidi tosha kuwa wachezaji wa Simba wanapigwa spana

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.

Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.

Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?

Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
 
Na kwa bahati mbaya,wanaofanya hayo ,wanawasingizia akina Bocco na watu wengine ndani ya timu ili tuzidi kupambana wenyewe kwa wenyewe.
Wao wapo kuchochea ugomvi.
Naamini Okra,Phiri wataifanya yanga izidi kutisha sana.
Hii Simba haina viongozi,hawa waliopo Simba imekuwa kubwa sana kwao.
Wanapaswa kujua hilo
 
Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.

Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.

Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?

Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
na kapama anarogwa na nani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMANI ZA USHIRIKINA NI IMANI ZA WAJINGA NA WAPUMBAVU.

uchawi ungekuwa na nguvu Africa tungetwaa kombe la dunia.. na wachawi ndio wangekuwa marais na matajiri wakubwa
 
Sawa wewe fikiria okrah,phiri na chama wanatua jangwani.

Ukiangalia upande wa pili mifarakano kila kukicha.

Yaani hii unaambiwa bado hamjahaha na mpaka mhaheee.

Simba wapata mhaho wahaha😁😁😁
 
Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.

Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.

Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?

Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Ibrahim ajibu alishasema bila kuondoka boko simba wachezaji wote watapata tabu ku shine simba yule ni noma
 
Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.

Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.

Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?

Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Dah! Unaamini uchawi mpirani? Na uoni aibu kulisema hilo mtandaoni?
 
Naomba niunganishwe na hilo dude lililoko simba kusudi jirani yangu hapa anikome.
 
Hakina spana, wale wachezaji walipndoka huku wakitoa shutuma kwa uongozi kumpangia kocha kikosi, m hezaji Kama okrah unamweka benchi dakika 90 kwenye mechi kubwa Kama ya wydad wakati unajua kabisa Kuna kitu anaweza kukupa unang'ang'ana mibbu Kama Saidoo kwanini asiondoke
 
Back
Top Bottom