Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Na kwa bahati mbaya,wanaofanya hayo ,wanawasingizia akina Bocco na watu wengine ndani ya timu ili tuzidi kupambana wenyewe kwa wenyewe.Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.
Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?
Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
na kapama anarogwa na nani?Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.
Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?
Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.
Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?
Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Ibrahim ajibu alishasema bila kuondoka boko simba wachezaji wote watapata tabu ku shine simba yule ni nomaLeo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.
Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?
Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Chama hawezi kwenda Yanga, akachukue nafasi ya nani pale Yanga? Hakuna nafasi yake pale.Sawa wewe fikiria okrah,phiri na chama wanatua jangwani.
Ukiangalia upande wa pili mifarakano kila kukicha.
Yaani hii unaambiwa bado hamjahaha na mpaka mhaheee.
Simba wapata mhaho wahaha[emoji16][emoji16][emoji16]
Subirini wale wazambia wawiliKama Okrah ndo anafungua usajili Yanga basi kuna vyuma zaidi vinashuka.
Dah! Unaamini uchawi mpirani? Na uoni aibu kulisema hilo mtandaoni?Leo Okrah ambaye alionekana kila siku majeruhi, Okrah alionekana mlevi, msumbufu amesajiliwa Yanga na tayari yuko Zanzibar.
Inaonekana ndani ya klabu yetu wachezaji hawalindwi na mambo ya nje ya uwanja, kila siku tunalalamika wachezaji wanarogwa tunaonekana wachawi, hata huyo Kramo akiondoka Simba tu atapona, akiendelea kucheza Simba atabaki na majeruhi hadi akione cha moto.
Hawa akina Micquisone sio wabaya, kuna michezo michafu inafanyika kuwatia ganzi wachezaji wetu waonekana wabovu, wamezeeeka, haya huyo Okrah ana umri gani?
Viongozi Simba tieni pamba masikioni, acheni wachezaji wao wanachukua kilainiiii
Mkuu, Chama hawezi kusajiliwa Yanga, Phiri inawezekana kabisa. Chama akachukue namba ya nani Yanga jamani? Azizi Ki? Max? Pacome?Subirini wale wazambia wawili
Nyuzi zake zote anazoanzisha hapa Jf jukwaa la Sports lazima agusie ushirikina.Dah! Unaamini uchawi mpirani? Na uoni aibu kulisema hilo mtandaoni?
Jamaa mshamba sana!Nyuzi zake zote anazoanzisha hapa Jf jukwaa la Sports lazima agusie ushirikina.
Duh!Ibrahim ajibu alishasema bila kuondoka boko simba wachezaji wote watapata tabu ku shine simba yule ni noma
Mudathiri ilikuwa hivi hivi.Usajili mbovuuu,Tumeanza kuokoteza.Tumeishiwa mbinuu