Jaribu kwa njia ya mtandaoKinachofanyika najua ni hicho hicho ila kwasababu huku mikoani ni mawakala ambapo ukichukua piki piki unawachia hiyo tin number then zikija ndiyo wanakupigia lakin mim hoja yangu nilitaka incase nataka kusajili mwenyewe requirements ni zipi
Kiongozi naomba tuwasiliane nijue namna ya kupata kwa muda mfupi vitu hivyoUlifanya mistake kutoka bila kukamilisha usajili kwa muuzaji. Mie nina uzoefu wa zaidi ya mara tano na kununua hizo pikipiki mpya za biashara. Ila mara zote pale pale nawapa TIN no. na namba yangu ya simu .......baada ya siku 3 nafuata plate namba ambayo ina usajili wangu kamili(kibao cheupi....business), nikihitaji kibao cha njano .....nawapa 50,000/= nakifuata baada ya siku 3.
Sema round zote pikipiki nanunuaga kkoo tu.........sijajua huku pembezoni ya mji wana utaratibu gani.