Usajili wa Simba kuwekwa hadharani leo, Mwanasimba kaa mkao wa kunogesha furaha

Usajili wa Simba kuwekwa hadharani leo, Mwanasimba kaa mkao wa kunogesha furaha

Tuiombee Simba inapitia magumu, jeuri yote kwisha.

Hawa ndio walikuwa wakitamba wanataka kucheza na Barcelona.[emoji16][emoji16]
Sasa mkuu,, Barcelona unaiona ni timu ya kutisha kwa Sasa?? Au hufuatilii vzr??
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Taarifa ya usajili itakujia leo kupitia Simba App [emoji336]

[emoji935] Saa 7:00 mchana shughuli zote zitasimama kwa muda kupisha utambulisho wa mabingwa wa nchi.

Shughuli yote kwenye Simba App [emoji2]





View attachment 2080627
😁😁😁 Bamutu ba simba bana maneno mingi sana! Ila bakija uwanjani, banaruka ruka tu na kukanyagana! 😁😁😁
 
Back
Top Bottom