Tuiombee Simba inapitia magumu, jeuri yote kwisha.Kwahiyo mrejesho hakuna??
Yani Mbeya City anakutia madole wakiwa pungufu ndio useme una timu ya kucheza na Barca? Aisee wewe ni wakupimwa akili.Sasa mkuu,, Barcelona unaiona ni timu ya kutisha kwa Sasa?? Au hufuatilii vzr??
Baelezeage hao Mikia FC akili huwa zinawaruka.Yani Mbeya City anakutia madole wakiwa pungufu ndio useme una timu ya kucheza na Barca? Aisee wewe ni wakupimwa akili.
πππ Bamutu ba simba bana maneno mingi sana! Ila bakija uwanjani, banaruka ruka tu na kukanyagana! πππTaarifa ya usajili itakujia leo kupitia Simba App [emoji336]
[emoji935] Saa 7:00 mchana shughuli zote zitasimama kwa muda kupisha utambulisho wa mabingwa wa nchi.
Shughuli yote kwenye Simba App [emoji2]
View attachment 2080627