Usajili wa Simba SC 2019/2020

Usajili wa Simba SC 2019/2020

endesha

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2015
Posts
1,297
Reaction score
1,877
Mashabiki wenzangu wa Simba,Poleni sana na Majeraha ambayo bado mnayo nami nikiwemo.

Timu yetu Simba sio mbaya nikiri hivyo.Ila mapungufu tukubali yapo bado.

Binafsi nashangaa mnomno kutokusajiliwa kwa Striker mwenye kariba ya MK14.Mfano leo Jamaa walikula naye sahani moja akigeuka tu anakabwa kama mhalifu aliyekumbana na Polisi.Angesajiliwa mwingine angetoa msaada sana kwakweli.

Chondechonde kwa viongozi wetu wafanye mpango wa kusajili mshambuliaji Jamii au hata zaidi ya Kagere kwa baadae hata dirisha dogo.

Wamekwama wapi hawa viongozi na Wabrazil waooo ????
 
Tatizo mnawafunga Azam kwa makubaliano ya mezani then mnajisifu!
 
Kagere ni mkali kwa mabeki wetu wa bongo tu! ila ukija kwenye mechi za kimataifa, amekua ni mchezaji wa kurukaruka tu uwanjani.

Vipi na wale Wabrazil wenu mliowasajili kwa mbwembwe, mbona hamkuwachezesha kabisa leo? Wangeweza kuwasaidia kupindua matokeo. Shibobu naye naona leo mchezo ulimkataa kabisa. Lile goli ni la uzembe wa wale wachezaji walioweka ukuta! Hawakuwa na sababu ya kuukwepa ule mpira.
 
Back
Top Bottom