Usajili wa Simba Sport Club Kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020


Tatizo la sisi watanzania hatupendi kuambiwa ukweli,bocco si mchezaji wa kiwango wanachokiongelea,ndio maana mpaka sasa hakuna team iliyovutiwa nae,tofauti na kagere ambae team zaidi ya mbili zinamtaka,mfano away match dhidi ya mazembe hakuwa na madhara yoyote kwa mabeki kabisa,jamaa kasaidia sana ila si mchezaji wa kutegemea kama simba inataka kuwa level za mazembe,tunahitaji wapambaji kama kagere watatu katika nafasi tatu anatumia mbili tofauti na bocco nafasi kumi ataumia moja ,thats my opinion


Sent from my iPad using JamiiForums
 
mkuu umechambua vizuri lkn kuna ka bias umekasema ..unasema wachezaji kama chama, kagere, na niyonzima na ukasema unaangalia wanachezeshwa na nani ? ukasema wanachezeshwa na mtu kama bocco anakiwango dhaifu... HAPANA mkuu Bocco hana kiwango Dhaifu kbs.. angalia ana assist ngapi ktk klabu yake tena ktk mechi muhimu za kimataifa ...tazama assist zake mbili ktk mechi na uganda za kufuzu..mi maoni ni kwamba Bocco anavyo chezeshwa simba analazimika kutumia nguvu nyingi ndio maana anawahi kuchoka ..lkn kama Bocco angekuwa anachezeshwa kama lonely striker akizungukwa na mawinga wazuri atleast ..ndugu yule jamaa anakipaji.... Na kumbuka yy ndio anaongoza kwa magoli ktk ligi ya bongo ..Mpe mtu heshima yake
 

Yeah ni Mzuri kwa Mechi za ligi.

Nimesema hivyo kaka. Ni kweli pia anajitahidi kwenye ku assist but he is not good enough to handle international games.

International games haziitaji makosa ya kizembe zembe kwasababu ni game zenye kasi, nguvu, akili na ushindani wa juu.

Hivyo Bocco abaki kuwa mchezaji wa ligi while he keeps learning kwenye international games.
 
Msimu wa kupiga hela za Mo unakaribia sasa tunakaribisha wapigaji woote
 
Simba kwenye ligi ya ndani kwakua Timu ilikua inaenda moja klabu bingwa wanatumia falsafa Kama ya Bayern kuziharibu Timu zengine ili kuendelee kutawala...ila tukianza kupeleka Timu mbili klabu bingwa tutaacha kuchukua wachezaji wakawaida ambao kimsingi hawatumiki hata katika mashindano ya kimataifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAMIA FC. . Wamejitahidi kuizika Azam na Bashite katumika kuimaliza Yanga... ila Zahera akipewa fungu la maana maji mtaita mma
 
We jamaa nakuombea nafasi ya ujumbe kwenye kamati ya Boss Mo Dewj
 
Mkuu unajua mpira,, Bocco sio wa level ya international games, madalali wanampiga sana Mo,,angalia beki kama zana hana kitu cha tofauti cha ziada kumtofautisha na wazawa
 
Kama kocha atakuwa unamuanzisha Bocco Afcon basi hatutafika popote,, Bocco sio wa level wanazomuweka, his not competent enough,, hana skills,, kuna muda inabidi tuambiane ukweli
 
kocha ujamzungumzia..vp anafaa kwa game za kimataifa,,?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipaji kipi unachokiongelea wewe,, kuna wachezaji wa aina mbili, kuna talented na mpira Tizi, Bocco ni mpira Tizi,, kipaji unakijua wewee au unasema tuu,, ni timu Gani umesikia inamnataka kwenye michuano ya klabu bingwa,?? Angalia na fikiria namna ya kutumia hili neno kipaji kwa umakini
 
mshabiki wa simba akitoa ushauri kwa simba hadharani, moira hauko hivyo unaweza kuta pamoja na tambo zote hizo hata raundi ya pili hamkanyagi mwakani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…