Usajili wa Simba Sport Club Kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020

simba hawana mpira, mechi za nyumban wameshinda ki bahati tu we washauri wazidi kuwekeza kwenye uchawi ndio uliowasaidia
 
Kwa kukosa penalty?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew Nani kakudanganya baryen wanashiki peke yao ligi ya mabingwa hadi uwafananishe na Simba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vita wamemuuza Jean makussu billion tatu za Tz sio moja kwa ushauri tuu simba inatakiwa itafute mshambuliaji mmoja wa nguvu na kiungo mkabaji wa nguvu na winga mmoja wa nguvu Timu itakua fresh kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudos bro
Sent using Jamii Forums mobile app
 
simba hawana mpira, mechi za nyumban wameshinda ki bahati tu we washauri wazidi kuwekeza kwenye uchawi ndio uliowasaidia

Hatutaki Majungu. Hapa tunaongea Istiqama za ajabu.

Sitegemei kama ni Level yako.
 
Bocco lazima apate namba AFCON.. Kukamilisha utatu madhubuti Samatta, Msuva na Bocco.. Kati Nyoni, Mudhathir na kiberenge Farid Musa... . Backline Kevin, Aggrey, Gadiel na Kapombe.. Kipa Manula.. Tukitaka kupaki bus Himid Mao, Fei toto na Mkude
 
Hivi mtu anaanzaje kumdharau Boko! mtu ambaye alipokuwa Azam alikuwa anajipigia Simba na Yanga vile atakavyo na bado kahamia Simba ndo kwanza kaipeleka robo fainali CAF huku akiipeleka Stars AFCON pia.

Watu kama hawa ni qualified haters.
 
Simba ya fainali na kubeba kombe ndio tunaitaka
 
Hivi mtu anaanzaje kumdharau Boko! mtu ambaye alipokuwa Azam alikuwa anajipigia Simba na Yanga vile atakavyo na bado kahamia Simba ndo kwanza kaipeleka robo fainali CAF huku akiipeleka Stars AFCON pia.

Watu kama hawa ni qualified haters.

Ya faa ukaelezea Maana ya Dharau

Kisha Uelezee Maana ya Ukweli.

Naamini hivyo ni vitu viwili tofauti.
 
Simbwa msimu ujao kama mkishiriki CAF mtatoka mapema kabisa, naona mnajiaminisha mtachukua Champions League kisa mmebahatisha msimu huu

Mbwa ukimjua jina hata hakusumbui
 
Simbwa msimu ujao kama mkishiriki CAF mtatoka mapema kabisa, naona mnajiaminisha mtachukua Champions League kisa mmebahatisha msimu huu

Mbwa ukimjua jina hata hakusumbui

Upo nje ya Mada. Pole.
 
Ukweli utabaki ukweli bro... uko sawa kabisa, mashindano ya CAF sio kitoto kabisa.
Angalia AL AHLY na kikosi chake chote kile anakula 5-0, Tunapaswa kufanya vitu vikubwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa sio wa majaribio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…