Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji?

Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k

Usajili ujao Simba leteni Feisal, Baka, Rudisheni Okwi, na Kuna mnyama pale Kenya anaitwa Omala, , pia tafuta kipa wa viwango Kama kipa wa Yanga
 
Ngoja waje wenyewe wakuulize wewe ni Simba au Yanga
 
Usajili in mbovu sana, kuna uwezekano watu wanapiga pesa
 
Kuna tatizo na Kwa bahati mbaya hatujifunzi utaona mwakani
 
Hivi nani alifanya tathmini kujua thamani ya klabu kabla ya kumpa dewji?

Hata lile jengo lao tu lilikuwa na thamani gani kipindi hicho kama wangeamua kuliuza?

Siku muhindi akiiuza klabu, pesa atakayovuna ndio watajua kumbe walitapeliwa.
 
KANJIBAI NI HATARI KWA USTAWI WA TIMU.WALIOKO SIMBA WOTE MATAPELI NA MADALALI WAMEPEWA 6B WAMELETA MAGARASHA KWA 200MILION.SAFU YOTE YA VIONGOZI IONDOLEWE
 
Hatuana tatizo kwenye makipa ,tatizo ni wachezaji katika no hi 5,6,7,9
 
Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji?

Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k
Usajili ujao Simba leteni Feisal, Baka, Rudisheni Okwi, na Kuna mnyama pale Kenya anaitwa Omala, , pia tafuta kipa wa viwango Kama kipa wa Yanga
Hii post iko humu ili iweje? hujaona mahala pake?
 
Wanasajili kwa kutumia youtube videos.

Huyo Babacar Sarr wa youtube hata De jong au Sergio Busquets hawaoni ndani.

Njoo kwa huyo Pa Omar Jobe sasa ukitazama skills zake youtube hata prime Lewandolski haoni ndani!

Hapo makolo wanaingia kichwakichwa wanasajili.
 
Duh
 
Hivi nani alifanya tathmini kujua thamani ya klabu kabla ya kumpa dewji?

Hata lile jengo lao tu lilikuwa na thamani gani kipindi hicho kama wangeamua kuliuza?

Siku muhindi akiiuza klabu, pesa atakayovuna ndio watajua kumbe walitapeliwa.
Simba haimilikiwi na Dewji. Mo si mmiliki wa simba acheni story za vijiweni
 
Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji?

Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k

Usajili ujao Simba leteni Feisal, Baka, Rudisheni Okwi, na Kuna mnyama pale Kenya anaitwa Omala, , pia tafuta kipa wa viwango Kama kipa wa Yanga
bacca kumtoa pale yanga. uje na billion ya mazungumzo. then mpangiwe bei.

sema Hersi atauza wachezaji wote next season,
 
Wanasajili kwa kutumia youtube videos.

Huyo Babacar Sarr wa youtube hata De jong au Sergio Busquets hawaoni ndani.

Njoo kwa huyo Pa Omar Jobe sasa ukitazama skills zake youtube hata prime Lewandolski haoni ndani!

Hapo makolo wanaingia kichwakichwa wanasajili.
kuna kituko soon
 
Back
Top Bottom