Kidagaa kimemwozea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 3,680
- 6,554
Hii post iko humu ili iweje? hujaona mahala pake?Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji?
Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k
Usajili ujao Simba leteni Feisal, Baka, Rudisheni Okwi, na Kuna mnyama pale Kenya anaitwa Omala, , pia tafuta kipa wa viwango Kama kipa wa Yanga
Acha mdomoHii post iko humu ili iweje? hujaona mahala pake?
DuhWanasajili kwa kutumia youtube videos.
Huyo Babacar Sarr wa youtube hata De jong au Sergio Busquets hawaoni ndani.
Njoo kwa huyo Pa Omar Jobe sasa ukitazama skills zake youtube hata prime Lewandolski haoni ndani!
Hapo makolo wanaingia kichwakichwa wanasajili.
NikweliUsajili in mbovu sana, kuna uwezekano watu wanapiga pesa
Simba haimilikiwi na Dewji. Mo si mmiliki wa simba acheni story za vijiweniHivi nani alifanya tathmini kujua thamani ya klabu kabla ya kumpa dewji?
Hata lile jengo lao tu lilikuwa na thamani gani kipindi hicho kama wangeamua kuliuza?
Siku muhindi akiiuza klabu, pesa atakayovuna ndio watajua kumbe walitapeliwa.
Upo nyuma sanaSimba haimilikiwi na Dewji. Mo si mmiliki wa simba acheni story za vijiweni
Wewe ndo upo nyuma na huna taarifa sahihi . Hakuna mahali popote Simba inamilikiwa na mtu , hata yanga haimilikiwi na mtu yeyote.Upo nyuma sana
Nani kayasema hayoWewe ndo upo nyuma na huna taarifa sahihi . Hakuna mahali popote Simba inamilikiwa na mtu , hata yanga haimilikiwi na mtu yeyote.
bacca kumtoa pale yanga. uje na billion ya mazungumzo. then mpangiwe bei.Kwanini usajili wa Simba HAUAMINIKI? Simba wanaweza kusajili wachezaji 7 lakini atakayeonesha kiwango Ni mmoja au hakuna hivi Hawa jamaa wanatumia mfumo gani kupata wachezaji?
Simba kjikite kwenye usajili wa ndani Kama walivyopatikana kina Mohamedi ibrahimu, kichuya, Mzamiru, n.k
Usajili ujao Simba leteni Feisal, Baka, Rudisheni Okwi, na Kuna mnyama pale Kenya anaitwa Omala, , pia tafuta kipa wa viwango Kama kipa wa Yanga
tayari season hii 10% watu wamekulaUsajili in mbovu sana, kuna uwezekano watu wanapiga pesa
kuna kituko soonWanasajili kwa kutumia youtube videos.