py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Klabu ya simba sc pasi na shaka wamekuwa tishio sana kutokana na kufuru yao ya usajili haswa magazetini.Klabu hiyo imekuwa ikijitapa kuwa imetumia kiasi cha 1.5 Billion kufanya usajili tu wa wachezaji na target yao ni kombe la shirikisho lakini cha kushangaza licha ya kufuru hizo lakini wamekuwa wakipata tabu kupata goli pindi wakikutana na vilabu vikubwa nchini tumeona mechi ya ngao ya hisani simba ikitoka suluhu na yanga ,leo pia wametoka suluhu ya kutofungana na Azam lakini wakicheza dhidi ya Ruvu ,Gulioni fc huwa tunaona wakifunga magoli ya kuogopesha
Simba sc mnaniogopesha kama Azam,yanga mnawashindwa vipi kwenye mashindano za kimataifa "ambayo mnasema ndio target yenu ndio sababu mkatumia 1.5B kusajili" mkikutana na vilabu vya Afrika kaskazini si mapema mtafurumushwa