Usajili wa Usajili wa Simba umewaingiza choo cha kike wanahabari uchwara

Bora Simba mmeanza kujitambua wale Yanga bado wanashikiria ujima na wajanja kina Rostam
 
India nako kuna soka kweli? Tuambiane ukweli Mo hajatoa pesa za usajil,i pesa club ilizopata msimu ulioisha ndo zitahudumia huge wage bill iliyopo pamoja na kuokoteza wachezaji huru!
Vichekesho vya karne aisee.
 
Na sasa RA kaingia na mzigo mnene MO ataomba poo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…