Usajili wa vyuo vikuu (muhas, imtu) mwaka 2011/2012

mwamagunda

Member
Joined
Feb 27, 2011
Posts
13
Reaction score
0
Habari zenu wana jamvi. Naomba kujua kama usajili huo umeshafanyika na matokeo kutangazwa. Ikiwa jibu ni ndiyo, Je, nawezaje kuipata habari hiyo?
 
Ngoja waliokuelewa waje wakujibu.
 
kama unamaanisha udahili imtu tayari, muhas bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…