wamewekeza nn cha maanaAzam Fc nao sijawahi kuwaelewa, licha ya uwekezaji wa kutosha bado hawajawa na impact katika soka la bongo.
Azam wana pesa lakini hawajui wanataka nini.Nawasalimu sana wananzengo!
Tengua Teua kama kawaida!
Matajiri wa CHAMAZI wamewaacha wachezaji hawa baada kumaliza kandarasi zao:
Wazawa:
1. Ramadhani Singano
2. Danny Lyanga
3. Joseph Kimwaga
4. Mwasapili
Wageni:
5. Steven Kingue
6. Enock Atta
7. Tafadzwa Kutinyu
8. Chirwa
Tangu aondoke simba, hajawahi kusikika tenaSingano. Nahisi sasa atakuwa anaikumbuka Simba. Maana Simba walikuwa wanampenda akaleta Kiburi.
Hata siku moja usilete kiburi na mwajiri wako wa zamani.
Mungu awabariki
Singano. Nahisi sasa atakuwa anaikumbuka Simba. Maana Simba walikuwa wanampenda akaleta Kiburi.
Hata siku moja usilete kiburi na mwajiri wako wa zamani.
Mungu awabariki