BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,810
- 5,773
Aah [emoji1] mpaka wasukuma wanajua kucheza singeli?Manfongo huku mza wanamuelewa Sana juzi Kati ilipigwa maeneo ya beach vijana waliachia viti
Babu hataree hainaga usukuma tunachezagaAah [emoji1] mpaka wasukuma wanajua kucheza singeli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa Ruge hata kama pesa kiduchu utasaini tu leta jeuri ufe njaa mjini..
Hahahaaaa [emoji119]Babu hataree hainaga usukuma tunachezaga
Wote wanakula kiwango sawakwa show kama maua sama
bilnas
ben paul
wanapewa kias gan kama diamond lazma apewe milion 10
hapana sio sawa tunasubir mikataba ivuje wameandika kias ganWote wanakula kiwango sawa
Ben Paul Nadhani 4 au 3m hv billnas hata 2.5m anapokea kutokana na hana nyimbo nying so kwa stage anaimba dk zake 15 au 20 anachimba hawez pewa sawa na Ben Paul i think"kwa show kama maua sama
bilnas
ben paul
wanapewa kias gan kama diamond lazma apewe milion 10
Umaskini wako usidhani ni watanzania wote wew baki nao sis tunaendaKwa utawala huu wa MTUKUFU kuna watu kabisa wanawaza matamasha kama hayo?
Underground watapiga show kama njia ya kujitangaza na kujulikana zaidi na kupata connection za hapa na pale. Lakini wale watakaoperform vizuri wanaweza kupata chochote cha maji.Tutajieni kabisaa na wasanii watakao piga shoo buree...
Watakao piga shoo bure ni wengi mno hasa kipindi hiki cha vijana wengi kutaka kutoka kisanii na kimaisha, hasa wale wa kwenye miji itakapopita fiesta tena ni wao ndio watakaoomba kuwafanya hivo wakiamini watatoka kwa watu kuwaona.Tutajieni kabisaa na wasanii watakao piga shoo buree...
Kuna kipindi huku Mkoani kwetu niliona ukifanyika usahili kwa watakaoperform Fiesta, ebana walijitokeza maunderground wa kumwaga, nikashangaa sana yaani watu wanachuana kuperform bureWatakao piga shoo bure ni wengi mno hasa kipindi hiki cha vijana wengi kutaka kutoka kisanii na kimaisha, hasa wale wa kwenye miji itakapopita fiesta tena ni wao ndio watakaoomba kuwafanya hivo wakiamini watatoka kwa watu kuwaona.
Unafikiri nani anataka habari za kushika jembe la mkono huku ukisubiria mvua zisizosomeka ........ wakati wana sikia msanii anapanda jukwaani anaimba anaondoka 2m - 15m ndani ya 30min.Kuna kipindi huku Mkoani kwetu niliona ukifanyika usahili kwa watakaoperform Fiesta, ebana walijitokeza maunderground wa kumwaga, nikashangaa sana yaani watu wanachuana kuperform bure
Kazi kweli kweli, ila nchi hii tuna wasanii wengi sana, waliotoka hawafiki hata asilimia 1Unafikiri nani anataka habari za kushika jembe la mkono huku ukisubiria mvua zisizosomeka ........ wakati wana sikia msanii anapanda jukwaani anaimba anaondoka 2m - 15m ndani ya 30min.