Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Hao ni baadhi tu ya Watakaotumbuiza Mwanza "The Rock City". Wengine watakaotumbuiza katika mikoa mingine watasajiliwa pale patakapofikia. Hii hutegemea na nguvu ya Msanii na kukubalika kwake maeneo husika.Mbona Simba hayupo?....Na Benzino Je?
Mkuu huu siyo Usahili Bali Usajili.Sijaelewa....yaani wasanii kama Navy Kenzo Fid Weusi and the like wanafanyiwa usahili?!
Hii imenishangaza kama ile habari ya Chidy Benz kwenda kutambulisha nyimbo redioni bila kujua hata chorus ya nyimbo yake(iliyofanywa na Raynavy)
Usahili?! As BSS n Tusker Project Fame?!!!
Sana mkuuFiesta bila Jay Dee ni sawa na supu bila limao
Mkuu kama hao wapo wengi!Ruby akimaliza nyimbo zake 2 anashuka jukwaani??
Pesa ya diamond hawana..dai hapig show ya 1m...Inamaana Diamond Platinamuz hashiriki!!!??
Zamu ya nani leo, zamu ya mwanza mwanza.Babu hataree hainaga usukuma tunachezaga
Maua sama hana nyimbo mbili ww yule she is talented achana na hawa wengineNa iyo live band anaimba nyimbo zake 2 tu.
Nyingine zote copy.
Hii thread ilivyoanzishwa nadhani hukuiona sasa umekurupuka tu...Endelea kutokuelewa,wapi pameandikwa wanafanyiwa usahili?
Hii thread ilivyoanzishwa nadhani hukuiona sasa umekurupuka tu...
Hujiulizi mbona wengine hawajanikosoa hapo?!....so ndo hivyo mwanzoni iliandikwa hivyo
Hata hivyo bado ni dharau kuwasainisha mkataba wasanii mbele ya kadamnasi hivyo....kusaini mkataba kunahitaji utulivu wa akili pia na kupitia vipengele vyote.....ndio maana hii nchi tunasainishwaga mikataba ya kilaghai kwa kutokuwa makini na matendo yetu...
Huwezi msainisha msanii mkataba kama unafanya "usajili" wa timu za ndondo cup.
Wao ndio wamekurupukaUmeona usajili wa wachezaji unavyofanywa? Mtu anapewa mkataba anausoma halafu anambiwa sku flani utakuja kusaini sehem flani. Sio wanakurupuka tu kama wewe ulivyokurupuka.
Ni usajili ndgu sio usahili hayo ni maneno mawili tofautiSijaelewa....yaani wasanii kama Navy Kenzo Fid Weusi and the like wanafanyiwa usahili?!
Hii imenishangaza kama ile habari ya Chidy Benz kwenda kutambulisha nyimbo redioni bila kujua hata chorus ya nyimbo yake(iliyofanywa na Raynavy)
Usahili?! As BSS n Tusker Project Fame?!!!
Wao ndio wamekurupuka
Wanauwezo wa kuwapa mikataba then wakafanya Pre Fiesta Party kuwatambulisha...simple...hiyo siyo timu ya mpira bob tofautisha...
Wapi dunia hii watu wanaandaa matamasha wanafanya huo "usanii"?
Mwisho wa siku wataenda kupandishwa dala dala kuzunguka tanzania nzima kama wapo kwenye study tour!.....ajabu!
Wanataka kumsajili Yanga[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Tatizo ujielewi,ule ni usajili kama usajili wa wachezaji unavyofanywahuu ni mfano,ndio maana wamesema ni usajili
Naongezea hapo diamond na alkibaFiesta bila Jay Dee ni sawa na supu bila limao