Natanguliza heshima tele kwa wadau wote wa JF.
Jamani naomba mwenye majina ya Wataalam wa Mazingira kwa mwaka 2015 ayaweke wazi kwa manufaa ya umma.
Website (Tovuti) ya NEMC bado inaonesha majina ya mwaka 2014.
Kuna taarifa rasmi kuwa majina hayo yalishatoka siku nyingi sana zimepita...
Naomba kuwasilisha ombi langu...
Heshima tele!