Usajili wa Yanga nina mashaka nao; Hauna kuwapima afya wachezaji

Malizaneni kwanza na mzee Kalomoni ndio mje mtusumbue

Kusajili asajili Yanga, kuteseka wateseka mikia
 
Mtani inaonekana uko mtupu kabisa kwenye mpira wa bongo.
Wewe ndo mtupu mkuu...kwa hiyo unabisha nyi si ombaomba...na tumewabeba sahivi mnaenda kushiriki michuano ya kimataifa bila sisi mngeendelea kucheza na kina ndanda kila siku
 
Kwani hela mnazo???mbona bado mnachangisha...yanga bwana mnajua kujifariji...yani nyie ni ombaomba jeuri...ombaomba anazunguka na bakuli kuchangisha mia tano mia tano bado anajisifia kuwa anahela..only in Tz
Mzee Kilomoni hataki kutoa hati.. MO yuko njia panda . Umaridadi unaficha mengi
 
Mzee Kilomoni hataki kutoa hati.. MO yuko njia panda . Umaridadi unaficha mengi
Eti mzee kolomoni...ndo nani huyo kwenye timu???kwa hiyo mashabiki wa omba omba fc mnataka mtunge habari kwamba simba kuna mgogoro ili mpatie pa kujifariji....pambaneni na mzee akilimani wenu kwanza 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Kwahio wewe na wenzako ndo mlifanya uharibifu wa mali za umma pale kwa mkapa baada ya tambwe (international profesional player) alipomuenzi maradona😁😁😁
Nadhani nilishiriki kwa namna fulani
 
Kilomoni ndio mwenye Simba. . Hati zote ziko nyumbani kwake. .MO tapeli tu . Wazee walimtaka Bakhresa mzee mwenzao. . .
 
Goddamn! Mimi nimeanza kuifatilia Simba mwaka 98 WTF are you talking? I know the whole cunts and good things of Simba.

Na cha kukushangaza I'm not just a shabiki ni mwanachama hai wa Simba sports club
Kumbe juzi tu
 
Hakuna timu Tz inayofanya vipimo vya afya,ila huwa ni kuhadaa umma tu
 
Kama ulisikia alichokisema Mo mara ya mwisho usingekuwa unaropoka ropoka hapa,Tz Timu yenye academy ni Azam tu wengine wote tunaungaunga tu
 
Kama ulisikia alichokisema Mo mara ya mwisho usingekuwa unaropoka ropoka hapa,Tz Timu yenye academy ni Azam tu wengine wote tunaungaunga tu
Hakuna mahala nimeandika Simba ina academy ya mpira, ila tuna Simba B ambayo inasaidia kukuza vipaji vya vijana.

Na kwa taarifa yako Tanzania tuna academy za mpira zinazofahamika zisizozidi sita.
(1) alliance academy (Mwanza)
(2) Mash academy (mwanza)
(3) iringa football academy (iringa)
(4) Ivo mapunda academy (ukonga dar es salaam. N.k
Hizi zinalea kuanzia miaka 7 watoto wenye vipaji ama nia ya kucheza mpira.
 
Utakua haumjui huyo unaemuita HD ametokea wapi labda kama hauna maana ya Hassan Dilunga
 
Kumbe juzi tu
Ni juzi kwako pengine una umri mkubwa kunizidi.
Sikuwa na namna ya kufanya nianze kuwa shabiki au mwanachama wa Simba mwaka wa nyuma labda 1990 wakati hata Radio caset tulikuwa hatuna na kujitambua pia mimi ni nani ilikuwa bado
 
Kilomoni ndio mwenye Simba. . Hati zote ziko nyumbani kwake. .MO tapeli tu . Wazee walimtaka Bakhresa mzee mwenzao. . .
Hahaaaaah mashabiki wa yanga mmeamua kumpa mzee kilomoni timu ya simba....mpeni zahera basi...ungesema hati zote za simba zipo nyumbani kwa zahera
 
Kama ingekuwa nyie mbumbumbu mnapima basi Kapombe hasingesajiĺiwq maana tatizo lake linajulikana na Azam walijitahidi kumtibu SA
 
Simba B ya kukusanywa vijana wakati wa mashindano? Nadhani timu za Kkoo huzijui vizuri Mkuu
 
Simba B ya kukusanywa vijana wakati wa mashindano? Nadhani timu za Kkoo huzijui vizuri Mkuu
Mimi ni Mwanachama wa Simba SC, nitajie mchezaji gani wa Simba B ambaye anaokotwa mitaani.

Najua humjui hata mmoja huko ndiko alikotoka tegemeo lenu Ibrahim ajibu.
Angalia line ups za mechi ya Simba B vs Cameroon U20 alafu unitajie mchezaji gani wakuokotwa mtaani ole wako ukose
 
Naona hatuelewani baki na msimamo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…