Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mfumo huu ni mzuri sana sababu chama kinafahamu idadi ya wanaCCM kitaifa - Mkoa - wilaya na Kata waliko wanachama.
Hata hivyo, ningekuwa na madaraka ktk CCM mfumo wa usajili unapaswa kuwa active muda wote - haupaswi kufungwa - usajili unatakiwa kuendelea mpaka mwakani May kabla ya kura za maoni. Hii itawezesha watu wengi zaidi kujisajili.
- Mfumo usifungwe
- Zoezi la usajili liendelee
- Wanaccm waongezeka
Soma Pia: