Usajiri wa Wahitimu F.IV - 2014; tuwasiliane ....

Usajiri wa Wahitimu F.IV - 2014; tuwasiliane ....

Tutor B

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2011
Posts
9,025
Reaction score
6,598
Kwa wale wanaohusika na shule za sekondari, napenda kuwajulisheni kwamba J&B Graphics and Data Processors inaendesha zoezi la usajili wa wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani yao mwishoni mwa mwaka huu;

J&B GRAPHICS & DATA PROCESSORS ni wajasiliamali tunaojihusisha na kazi mbalimbali za matumizi ya teknolojia mpya ya computer ndani na nje ya Kanda ya ziwa. Tuko na vijana wataalam wa kutosha kwa kazi ambazo tunashughulika nazo. Moja ya kazi kuu tunazoshughulika nazo kwa upande wa shule ni kuandaa fomu za usajiri kwa ajili ya wanafunzi wanaotajia kufanya mitihani ya mwisho ya baraza la mitihani la taifa (Photo Entry), vitambulisho vya wanafunzi, kupiga passport n.k. Katika kazi hizi tuna uzoefu mkubwa sana kwani tumeanza kufanya kazi hii miaka mitano (6) iliyopita.

Kwa maelezo zaidi waweza kutuma PM au e-mail phiveda@yahoo.com;
 
Back
Top Bottom