Usalama barabarani, ukiona bodaboda kaning'iniza sendo na kitambaa kwenye exhaust usipande

Hahahahahahahah nimecheka hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ulipatikana[emoji1]

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Pole. Mimi kuna siku watoto waliachwa na school bus, sasa boda ninaemtumia mimi binafsi akawa hapatikani ila kuna mwingine mtu mzima kiasi nikawa namfwata ili awapeleke watoto kumbe amelewa hataru alikua ameegemea nguzo ile kupiga tu hatua chini amelewa hajiwezi kumbe kugemea ile nguzo ni balance alikua anatafuta nikasema asante Mungu maana nadhani leo ningekua naongea mengine kuhusu watoto
 
Madereva wa boda ni wehu, sasa kama mtu yupo chakali tilalila si akapumzike
 
Yana acha tu, mi nikaona yule kdg mtu mzima ataenda na watoto kwa mwendo mzuri kumbe nlikua najiandalia sanda, namshukuru Mungu kwa kwel
pole mkuu
umakini unahitajika kama hatuna uharaka sana
 
Aisee pole sana hao wanaokaa kimya mara nyingi huwa na frustrations, njia pekee akishakunywa ni kuikimbiza kama anafukuzwa na matatizo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…