Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Ikitokea ajali wanaangalia kamera za ndani na nje. Kamera ziwepo kama tatu.
1. Kuonesha mbele inapoenda
2. Kuonesha dereva anavyoact (hii irekodi na sauti - cockpit voice recorder
3. Iwe kwa abiria kiujumla kwa ajili ya usalama.
Tumechoka kuambiwa tu, mwendokasi, sijui kona kali ndio sababu.
Tunataka kuona video zinazoonesha tatizo hasa lili kuwaje, ajali ilitokeatokeaje?
Sauti na video ziseme dereva na msaidizi wake walikuwa na mwitikio gani nafasi yao katika ajali ilikuwaje.
Na video ya abiria itaonesha nani aliruka kwenye siti yake, je alifunga mkanda? Au alishukia wapi, je alitekwa na nani?
Public transport zote, hasa mabasi makubwa ya mikoani.
Sijaliweka vizuri, atakayeelewa atarekebisha mwenyewe 😒