Usalama Kenya

Usalama Kenya

name 97

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2023
Posts
200
Reaction score
550
Wakuu hii issue ya shakaola, Kenya inamaanisha nini?

Je, usalama wa taifa ni mdogo Kenya?

Kweli, anakufa mtu mmoja hadi mtu wa mia moja sabini na tisa, usalama wa taifa haujui?
 
Kwa jinsi kenya mahakama na mifumo yao ya haki jinai ilivyo i bet PR MACKENZIE atashinda hii kesi. Ila ingekuwa ni Tz hii inshu ingefanyika kwa usiri mkubwa na mchungaji kama MACKENZIE angepotezwa kimya kimya na watu wa mfumo
Na anashindwa kweli hata Yule mwenzio Odero nae anashinda kesi kabisa,
 
Wakuu hii issue ya shakaola, Kenya inamaanisha nini?

Je, usalama wa taifa ni mdogo Kenya?

Kweli, anakufa mtu mmoja hadi mtu wa mia moja sabini na tisa, usalama wa taifa haujui?
Hii ishu inachezwa na top official figures wa serikalini huko... Juzi Kati alikamatwa pastor odero akihusishwa na Mackenzie. Na Kuna shauri lipo mahakamani kutaka kuzichunguza account 15 za huyu bwana odero. Na la zaidi ni kwamba mama watoto wa raia namba mbili wa Kenya alikuwa ni mchungaji msaidizi wa odero...
Mama riggy g+pastor odero----------->Mackenzie=shakahola mysteries...
 
Itakuwa.. ila pastor odero nasikia ameachiwa kwa dhamana
 
Mke nadhani ni WA odinga alishawahi sema hayo so called makanisa ya kisasa yamulikwe in deep.. alipewa matusi ya kila aina.... At the end mambo ndio kama hivyo
 
Back
Top Bottom