Ndoa hazianaga formula bwana Bishanga..wewe muulize tu kapigwa na wanagapi??Hii itakusaidia kujua kina cha bahari unayoogelea!!Ukitaka usalama na mkeo usiulize idadi ya rafiki zake wa kiume kabla ya ndoa.
Akijipodoa usimtazame na akimaliza umsifie.
Mpe fedha kwenda dukani lakini usifuatane naye.
Ukinunua nyama usihesabu vipande vya hiyo nyama.
(source: 'Jungu kuu halikosi ukoko',kitabu hiki kimeandikwa na Balozi Christopher Liundi,a very interesting book!)
Yeah..kumwambia ni muhimu. Saa nyingine wanawake huwa wanajipodoa mpaka inatia kinyaaIla mkuu kumotazama anavyojiremba ni muhimu bana na uangalie alipozidisha make up zake umwambie si unatoka nae ndani amefanana na kinyago eti ndio umsifie
Ukitaka usalama na mkeo usiulize idadi ya rafiki zake wa kiume kabla ya ndoa.
Akijipodoa usimtazame na akimaliza umsifie.
Mpe fedha kwenda dukani lakini usifuatane naye.
Ukinunua nyama usihesabu vipande vya hiyo nyama.
(source: 'Jungu kuu halikosi ukoko',kitabu hiki kimeandikwa na Balozi Christopher Liundi,a very interesting book!)
Ndoa hazianaga formula bwana Bishanga..wewe muulize tu kapigwa na wanagapi??Hii itakusaidia kujua kina cha bahari unayoogelea!!
Muangalie tu anapojipodoa..fuatana naye tu..
Ila vipande vya nyama usihesabu..ni sooo...
Yeah..kumwambia ni muhimu. Saa nyingine wanawake huwa wanajipodoa mpaka inatia kinyaa
Kila swali lina jibu lake na matumizi ya hilo jibu..inamaana akisema ametmbea na wanaume zaidi ya 20 utamwacha.
ahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mie hoiUkitaka usalama na mkeo usiulize idadi ya rafiki zake wa kiume kabla ya ndoa.
Akijipodoa usimtazame na akimaliza umsifie.
Mpe fedha kwenda dukani lakini usifuatane naye.
Ukinunua nyama usihesabu vipande vya hiyo nyama.
(source: 'Jungu kuu halikosi ukoko',kitabu hiki kimeandikwa na Balozi Christopher Liundi,a very interesting book!)
Ndoa hazianaga formula bwana Bishanga..wewe muulize tu kapigwa na wanagapi??Hii itakusaidia kujua kina cha bahari unayoogelea!!
Muangalie tu anapojipodoa..fuatana naye tu..
Ila vipande vya nyama usihesabu..ni sooo...
Ila mkuu kumotazama anavyojiremba ni muhimu bana na uangalie alipozidisha make up zake umwambie si unatoka nae ndani amefanana na kinyago eti ndio umsifie
Umeona eehhh
Bora unaenda nae step by step katika kujipamba kwake na akimaliza unamwambia wazi hapa poda umezidisha au hii make up haijakaa vizuri badilisha
Maana utakapotoka nae na amechemsha kwenye hayo utaonekana wa ajabu wewe
Kila swali lina jibu lake na matumizi ya hilo jibu..
mfano..kama ulitaka kujua idadi ya wanaume wake ili umuache..inawezekana ukamuacha manake 20 guyz!!.lol
.. Ila kama ulitaka kujua kwa nini hakuwa anadumu kwenye mahusiano ..pia itakusaidia that side..
Ni vema mkaulizana..yaan kama umemuuliza idadi ya wanaume zake..na wewe pia mtajie idadi ya wadada uliowahi toka nao..
unafiki kwenye ndoa muhimu kaka,hivi mkeo unaweza kumwambia 'ona ulivyojinenepea?' si patachimbika mzee?
Sasa Rocky haya ya kujua upakaji poda sisi wanaume tutayajulia wapi? mi najioneaga sawa tu,sijui wenzangu,maana hata zinakouzwa sijui.
Ukitaka usalama na mkeo usiulize idadi ya rafiki zake wa kiume kabla ya ndoa.
Akijipodoa usimtazame na akimaliza umsifie.
Mpe fedha kwenda dukani lakini usifuatane naye.
Ukinunua nyama usihesabu vipande vya hiyo nyama.
(source: 'Jungu kuu halikosi ukoko',kitabu hiki kimeandikwa na Balozi Christopher Liundi,a very interesting book!)
Hivi mkuu hujawahi kukutana na mwanamke barabarani ukamwamngalia ukajiuliza hivi kwake hakuna kioo
Maana make up alizojimwagia kama jini vile
Sasa wewe unamjua mkeo na uzuri wake na umeona kabisa uso umebadilika kawa kama kituko utaacha kumwambia kwa sababu hujui ( na wala hatujui) kuwa amezidisha poda
Mkuu mkeo unaujua uzuri wake na ukiona kuna kitu hakiko sawa lazima umwambie bana
mkuu lakini kina mama wako sensisitive sana na mipasho,siku nyingine utanyimwa,lol!