Mr faru john
Senior Member
- Dec 22, 2016
- 173
- 298
Hebu soma tena ulichokiandika kwa utulivu, then ushuhudie mwenyewe kiwango cha ujinga wako!Usalama ni usalama,Hali ya utulivu katika mazingira ya mzukukayo mwanadamu
Kwahiyo mtu kuielewa taasisi hii yenye dhamana ya kuhakikisha hàli ya utulivu ndani ya mazingira yetu si kazi rahisi
Kuna Aina ngapi za usalama?
Mtu anaweza fikiria Kwa haraka haraka na kuwaza Aina nyingi za usalama,siasa,dini,kazi,mchezo na n.k
Usalama hauna aina,katika Hali zozote tunapaswa kuwa katika utulivu na hii sasa ndiyo twaona umahiri wa taasisi hii
Watanzania wote tunapaswa kutamani Amani na utulivu katika Hali zozote,kwani ndio msingi wa Mambo mengine yote kutamalaki
Natamani kuandika mengi lakini nadhani tukielewa msingi huu tunaweza anzia hapa.......
Natambua ni ujinga kwako kukutana na bandiko kama hili,Ila ni budi kupeana angalizo Kwa namna yeyote Ile ili watanzania tuwe salamaHebu soma tena ulichokiandika kwa utulivu, then ushuhudie mwenyewe kiwango cha ujinga wako!
Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
Vipi kuhusu usalama wa barabarani unaingia wapi?Usalama ni usalama,Hali ya utulivu katika mazingira ya mzukukayo mwanadamu
Kwahiyo mtu kuielewa taasisi hii yenye dhamana ya kuhakikisha hàli ya utulivu ndani ya mazingira yetu si kazi rahisi
Kuna Aina ngapi za usalama?
Mtu anaweza fikiria Kwa haraka haraka na kuwaza Aina nyingi za usalama,siasa,dini,kazi,mchezo na n.k
Usalama hauna aina,katika Hali zozote tunapaswa kuwa katika utulivu na hii sasa ndiyo twaona umahiri wa taasisi hii
Watanzania wote tunapaswa kutamani Amani na utulivu katika Hali zozote,kwani ndio msingi wa Mambo mengine yote kutamalaki
Natamani kuandika mengi lakini nadhani tukielewa msingi huu tunaweza anzia hapa.......
Wewe ni mjinga uliyefanyiwa REMIXNatambua ni ujinga kwako kukutana na bandiko kama hili,Ila ni budi kupeana angalizo Kwa namna yeyote Ile ili watanzania tuwe salama