johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Basi wapewe leseni za kusafirisha mizigo..... ndivyo sheria ya usalama barabarani na ile ya usafirishaji abiria inavyotaka? Ukipakia abiria nyuma kwenye pickup trafiki watakukamata kwa sababu sheria hairuhusu! Ukiendesha gari bila kufunga mkanda trafiki watakukamata kwa sababu sheria inakataza kuendesha bila mkanda...
Mmmm stendi zote za mabasi ya daladala zimeezekwa vibanda ? Abiria mbona hukaa juani na mvua yao wakisubiri .Cha kwanza wasajiliwe sehemu zingine utakuta bodaboda wenyewe wamejijengea Banda la kukaa wakisubiri abiria kwa kujichangisha wenyeweHapo kwenye kusajili na kuwa na kituo basi hao tarula waweke vyoo vya kulipia Ili hao bodaboda watumie na waweke bati juu wakae chini ya bati siyo kukaa chini ya miti au hovyo hovyo kitu kinachofanya ajira zao kuwa za watu wengi wahuni.
... vyombo vya kusafirisha mizigo vina specs zake! Kama bodaboda na bajaji zina-meet vigezo well and good!Basi wapewe leseni za kusafirisha mizigo.