trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Ndio tulifanya hivo. Kaka yake rafiki yangu alichukua uskani, mimi nikakaa na rafiki yangu nyuma. she was shaking and crying. tukaenda mbali na eneo lile, tukasimamisha gari kwa muda mfupi alafu tukaendelea tuliko kua tunaenda.
Thanks AshaDii for this useful post...
Mi nauliza,hivi madereeva wa kiume si ni wengi kuliko wa kiume? Ratio,ni vigumu kupata..
Swali: kwanini % kubwa ya akina mama hawawi involved kwenye accidents? Ila akina(sisi),vice versa is true...?
But tusipo zingatia sheria tunakusa sisi, not them. We just need to be aware that huwezi kuacha kuchunga maisha yako sababu hakuna alie kwambia ujichunge... that would be irresponsibility at its worse.Labda itokee rais, waziri mkuu ama waziri yoyote apigwe mzinga barabarani na afe papo hapo ndio sheria za barabarani zaitaanza kuzingatiwa.
Tanzania ina ajali za barabarani mara 20 ya Sweden yenye magari mara 20 ya Tanzania....
go figure that.....
wanaume wanapenda kuovatake
wanaume wanaenda speed zaidi
wanaume ndo wenye haraka zaidi
labda kutaka kuonekana wajuvi wa kuendesha
au ndo hulka ya kiume????
Kwani tatizo ni speed au tatizo ni jinsi mtu anavyoendesha gari akiwa barabarani, including high speed?
Habari wana JF...
Siku zinavozidi kwena ndio ajali za barabarni zinavozidi kushamiri katika maeneo mbali mbali ya nchi…. Kumekua na ajali nyingi na mbaya za watu kupoteza maisha ama kulemaa hadi maeneo ambayo bara bara ni nzuri kabisa hadi observers mwashangaa hasa ilikuaje.
Katika historia ya inchi yetu hii changa sasa hivi idadi ya wamiliki wa magari ni kubwa than ever before… Leseni zinavotolewa na mafunzo yanayotolewa kwa wananchi wengi ni ya kienyeji mno! Na ni ukweli na uwazi usiopingika kwamba Watanzania tulio wengi ni mabingwa wa kupenda shortcuts na twapenda saana kurahisisha mambo. Idadi kubwa za lesseni za magari hutolewa hata mhusika anaekatiwa hayupo hapo walau hata kwa interview kuhakikisha kua kweli kapitia Mafunzo stahili.
Serkali imekuja na system mpya na nzuri ya njia ya kupata lesseni (toka lesseni mpya ziwe introduced) as much as kuna some unneccessary berueacracy zinahusishwa pale; ukweli unabaki kua kama kila mmoja ambae ana lesseni angepitia zile stages zooote; hata hao wenye age 50+ ambao wamewekwa kama exceptions katika baadhi ya vipengele – ingeweza kabisa ku minimise idadi ya Lesseni zisizo stahili. Badala yake imekua ukiritimba wa hali ya juu na a way and sorce of income katika baadhi ya vipengele hasa pale ambapo Traffic inatakiwa asaini kua wastahili.
Hata hivo nia na madhumuni ya hii thread ni kama a dedication to all those who have lost their lives katika road accidents….. na kutaka na kuomba michango ya my fellow members ambao kweli wana uzoefu mkubwa wa udereva… Kwamba kwa wale members ambao hua twapita pita humu hasa via mobile na while wapo on the wheel OR not on the wheel or what ever mode you are using… tuweze pata tips za vitu gani ambavo mtu (dereva hata mpita njia) aweza epuka kufanya ili kuweza zuia ajali. Ajali nyingi ambazo zingetokea zingeweza kabisa kuepukika ama kuokoa maisha endapo tu huyo mhusika angeweza pata tip husika. JF is a social network with more than 60000 members… Naamini kwa dhati kabisa kua hatutakosa tips za kutosha kuweza zingatia tuwapo barabarani.
Na naamini pia kwmba ni weengi ambao wamepitia experience za road accidents nyiiingi na kwamba waweza share those terrible/horrible na terrible experiences na sababu zilizo cause na ni dhahiri kua zingeweza kwepeka kabisa. Poleni woote ambao mshawahi pata ajali, mshawahi poteza wapendwa/ndugu na jamaa katika ajali na hata kama ushawahi guswa in one way or another katika ajali hizi za kila siku za barabarani.
Kuna wengine ni madereva kabisa lakini hata alama za barabarani hawajui za maanisha nini na wala ziko ngapi… Watu wanakufa kwa ajali ni wengi jamani inabidi tubadilike… na naamini nakujua kua Change starts from us. Tujaribu kua responsible na tuweze kumbushana. Nitashukuru kwa wale woote ambao watatupa uzoefu wao na kutoa tips…. Hata kama ni moja ama a List of them.
Tip zangu
- Please don't drive and use a mobile… Ni wengi saana wadharau hii tip, but ni moja ya factor ambayo inachangia saana ajali. Hio ajali sio lazima ipoteze maisha but hata ile tu kuharibu resources (in this sense gari yako) na kuanza gharama ambazo ungeweza epusha.
- Please do not overtake kwenye corner na hata mahala popote hatari bila kupewa ruhusa na aliekutangulia. Ni hatari.
- Please do not forget to use your seat belt.
Mategemeo yangu ni kua tips nyingi na za kitaalam zaidi zitatoka among members.... nategemea sana toka kwenu. Natanguliza SHUKRANI.
Pamoja Saana.
AshaDii.
P.S
Will really appreciate Lack of Uchakachuzi.
vyote ndg yangu
hatafu siku hizi kuna bodaboda, yarabi hizi zinaenda zitakavyo wala hawajali/hawajui sheria yaani hawa ni janga
Unaweza ukatumia cell phone kama ina blue tooth....
Leseni mpya sio solution, its our social responsibility to abide by the rule!! and we usually dont...
true kamanda, i think we can lik with teh quality ya barabara na law enforcement, probably barabara zao ni 200 time safer (design na investment), na sheria zao zinafuatwa 200 times ya sisi tunavyofanya na hiyo imepelekea sisi kuwa hatari zaidi barabarani x20 kuliko waoTrue that...
Safety ni jambo la kila mtu, it is a culture.
But at the same time I am sure it can't start out of nowhere. Maybe we need some strong campaigns about driving safely. hiyo post ya The Boss hapo juu inatisha...
TRUE THAT BUDDYPal upande wa leseni I meant kua kama zile steps zoote za kupata hizi leseni mpya zingefuatwa, basi ingeweza ng'amuliwa wepi hasa wana deserve hio licence na wasio deserve, hivo somehow limitting the number ya possible accidents from amateur drivers...
There's nothing wrong mkuu, we are just not used to law enforcement. Kwa kweli it was easier zamani. Ukileta nyoko nyoko the king has you decapited and your head planted on a stick, tongue our, untill your eyes fall from the globe.true kamanda, i think we can lik with teh quality ya barabara na law enforcement, probably barabara zao ni 200 time safer (design na investment), na sheria zao zinafuatwa 200 times ya sisi tunavyofanya na hiyo imepelekea sisi kuwa hatari zaidi barabarani x20 kuliko wao
Just today morning, i was in the car with one Ghanaian friend tunakatisha kwenye njia panda, jamaa mmoja akapita kama hakuna taa taa, mghana wa watu cha kwanza kusema "that guy must be from africa", even if we switch today and all of us move to developed countries and they move to our countries bado tutauana barabarani kama kuku.... THERE IS SOMETHING WRONG SOMEWHERE AND I DONT WANT TO GO THERE
There's nothing wrong mkuu, we are just not used to law enforcement. Kwa kweli it was easier zamani. Ukileta nyoko nyoko the king has you decapited and your head planted on a stick, tongue our, untill your eyes fall from the globe.
Then came mkoloni na kiboko chake
Sasa with the new Universal Human Right inakua ngumu sana...
We did not go through that process ya kukubali public administration, laws and order kama walivo jifunza wenzetu...
But I am sure with time we will get there. We just need to end the impunity culture first.