Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ubaya wa cellphone sio tu upande wa kuishika or using headphones..... IMO naona inapunguza alertness na concetration kwa dereva. Imagine maybe anapata taarifa mbaya alafu yupo mahala pabaya pa kuweza sababiisha ajali.....
pheewww, thanks.... maana tuna issues!! my only worry ni kwamba hii jungle rule inayoendelea may not be very helpful to us kwa sasa
i see Rwanda as a good model ya law enforcement labda tukajifunze
Deadly, terrible advice! Huwezi kupiga overtake kwenye kona au mahala popote hatari au sehemu ambayo huoni mbele au sehemu nyingine yeyote ile based on kuruhusiwa na dereva mwingine, never ever! Kama wewe mwenyewe huoni usipite! Kama unaona, na ni salama kupita based on your own best judgment, unaweza kuamua kupita, I mean your very own safety conscious decision.
Tip zangu
- ...kwenye corner na hata mahala popote hatari bila kupewa ruhusa na aliekutangulia. Ni hatari.
What went wrong: Konda hakutakiwa kukaa mlango wazi na kichwa nje, sherokee lilitakiwa ku-overtake kwa wakati muafaka.
What is to be done: kuongeza awareness kuhusu posture kwenye gari, na utaratibu wa ku-overtake.
shkamoo uncle... (sorry Anti, sio kuchakachua) :A S embarassed: