sabuni na sanitizer zinatumika kusafisha maeneo ya nje ya mwili kupambana na majimaji yanayohisiwa kuwa na virusi vya korona.Ndiyo kumaanisha hiyo dawa inaua hao virusi? Kwanini tunaambiwa Hamna dawa ya kupambana na Corona viruses? Zaidi tunaambiwa wanatibu dalili nyemelezi?
Unazani sijui mkuu? Shida Ni kwamba, taarifa zidi ya virusi Hawa inachanganya Sana, Kama virusi vina uwezo wa kukaa sehemu yoyote, inamaana ukinawa kwa sanitizer si wanadondoka chini? Wakiwa hapo chini wanakufa au hawana uwezo wa kusavive kwenye majimaji? Nini maana ya kusema hakuna dawa ya kumuua Corona virus? Kama ukinawa na kupuliza hizo dawa je huyo virus anakufa, ndo swali langu liloposabuni na sanitizer zinatumika kusafisha maeneo ya nje ya mwili kupambana na majimaji yanayohisiwa kuwa na virusi vya korona.
huwezi kunywa sabuni kama dawa ya korona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeUnazani sijui mkuu? Shida Ni kwamba, taarifa zidi ya virusi Hawa inachanganya Sana, Kama virusi vina uwezo wa kukaa sehemu yoyote, inamaana ukinawa kwa sanitizer si wanadondoka chini? Wakiwa hapo chini wanakufa au hawana uwezo wa kusavive kwenye majimaji? Nini maana ya kusema hakuna dawa ya kumuua Corona virus? Kama ukinawa na kupuliza hizo dawa je huyo virus anakufa, ndo swali langu lilopo