Jamaa nimempata Alibaba, ila hataki kutumia alibaba payment system na mimi pia nimegoma kutumia T/T. Mwishoe akapendekeza nilipe kwa kutumia PayPal, amenitumia invoice kwenye email yangu ambayo pia ina details zake za PayPal.kama unanunua kupitia online markets kama ebay, baadhi ya sellers huwa wanakuwa na kitu kinaitwa money back guarantee. Am sure hata amazon wana kitu kama hicho. But sijajua kwa sites zingine kama aliexpress.... labda ww unatumia site gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Paypal ni njia salama.amenitumia invoice kwenye email yangu ambayo pia ina details zake za PayPal.
Ningependa kujua kama nakua protected kama buyer endapo hatatuma mzigo kama tulivyokubaliana.
Asante sana mkuuPaypal ni njia salama.
Baada ya malipo una siku zisizozidi 180 ya kudai refund iwapo mambo yataenda kombo.
Kwa paypal seller hana ujanjawa kufanya dhuruma.
Najiuliza paypal unaifunguaje wakati Tanzania hakuna makubaliano ya matumizi ya Paypal au ninaelewa vibaya.Paypal ni njia salama.
Baada ya malipo una siku zisizozidi 180 ya kudai refund iwapo mambo yataenda kombo.
Kwa paypal seller hana ujanjawa kufanya dhuruma.
Paypal mtuanijiungajePaypal ni njia salama.
Baada ya malipo una siku zisizozidi 180 ya kudai refund iwapo mambo yataenda kombo.
Kwa paypal seller hana ujanjawa kufanya dhuruma.
>> Fahamu Jinsi ya Kulink/Kuregister Paypal account TanzaniaPaypal mtuanijiungaje