Vivax
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 520
- 184
Yawepo na haya kwenye katiba mpya bila kukosa!!
( 1 ) Raia mwema A kalala ni usiku,
Wakatokea raia D na G wanagombana karibu na nyumba yake,mpaka mmoja akamuua mwenza wake,halafu muuaji akapotea na aliyeuawa ikawa ni jirani na nyumba ya Raia A , Ukweli Raia A huwa mara nyingi anapewa usumbufu mkubwa hata kama hajui kitu kuhusu tukio hilo!
JINGINE ni- wahalifu wanaweza kufanya tukio baya mahali ,na baada ya tukio wakatupa picha ya mtu yeyote kwenye eneo la tukio kuwapoteza polisi (creating a fake alibi) ni mbaya sana katika jamii