Usalama wa Taifa na TCRA mko wapi? ORGANIZER wa Al-Shaabab nchini huyu hapa mtafuteni

 
Sasa usalama wa taifa wafanye nini kwenye hili suala??!!!

Maana ishu iko facebook, unataka wawaombe facebook wafunge akaunti? Watatoa sababu gani?? Maana kama ni mabandiko yenye kusambaza chuki tu, yamejaa kwenye internet na mbaya zaidi hakuna sheria ya kimataifa inayoshughulika na wavuti. Nchi hii inaweza kuwa na sheria fulani nchi nyingine isiwepo. Sijajua Facebook wao wana policy gani kwenye masuala kama haya.

Au ulitaka wamtafute huyu jamaa ambaye hata hatujui anatoka nchi gani, anaweza kuwa mkenya, mrundi, au yeyote yule. Pili huyu jamaa kama ni jamaa kweli hata kama ni mtanzania huenda hata hayupo Bongo kitu kinachofanya kazi ya kumfuatilia kuwa ngumu zaidi.

Kifupi sioni ni kwa namna gani TCRA au UWT wanaweza kushughulika na hili suala ukizingatia sheria zilizopo.

Vitu vingine tusikimbilie kulaumu tu ni lazima tuangalie na mazingira ya suala lenyewe.
 
Bado TISS wanayo nafasi ya kushughulikia mtandao huo,ila hawana nafasi maana maagizo makuu waliyonayo ni kuangamiza CHADEMA,nyie subirini kufa tu kama westgate! hakuna serikali ya kuwalinda,labda cha kusaidiwa na serikali ni kukamatwa kwa kesi hewa,za uzembe na uzururaji,na kunyea debe segerea,huo ndo msaada.
 
mh labda ingekuwa ishu ya chadema ingeshuhulikiwa haraka zidi
 
!
!
nchi yako!?....wewe na nani?nchi ina wenyewe wewe
, hayo mafunzo hata kwenye google yapo so its not big deal...........na huyo ni mfuasi mmoja wa wazi tu je wafuasi wa siri?Acha uoga wewe,


 
Issue moja inatupeleka kwenye issue nyingine. Baada ya kutafuta post ya KIO NGOZI kwenye fb mimi sikuiona bali nimeona huyo anayejiita JICHO PEVU ambaye naye mambo yake ni kama hayo ya KIO NGOZI. Hilo la KIO NGOZI ni cha mtoto ebu angalieni hawa jamaa wanaojita UMOJA WA VIJANA WA KIISLAM TANZANIA kwenye fb hutaamini wanachofundishana. Kama kweli hicho kikundi ndio umoja wa vijama wa kiislam Tanzania hatuko salama na wao wamesema mpaka wpte tuslim hhahahahhah. Alwatan kisha tangaziwa fatwa embu tembeleeni
 


https://www.facebook.com/rajabu.malombe

Huyu ni Mswahili mna yupo Bongo jina lake hilo hapo juu tena kabadilisha sasa hivi anajiita JICHO PEVU.
 
Hapana lolote hapa ni chuki za kidini inawezeka huyu jamaa ana msimamo mzuri tu wadini yake, maana hapa sio wageni wa haya kila mwenye msimamo wa dini ile kuitwa gaidi.

Wewe ni mmoja wa magaidi, mtu anayehubiri watu kuchinjwa na kuweka picha za kuwapongeza wenzake waliochinja mtu huo ndio msimamo wa dini?

Au unataka kutueleza uislam ni dini ya magaidi?
 

hii taarifa muhimu kwa nchi wafuatilie kwa ukari
 
Sim usome hapo jinalake limejiicha ? rajabu.malombe

watu wengi hawajuhi kuw aukifungu facebook kwa original name hata ukibadilisha ukaweka nick name baada ya muda lazima original libakie,

Kwani hilo jina hawezi kuwa nalo mkenya?? Okee, okee tuseme ni mtanzania, sasa umejuaje kama yuko BOngo, kwani watanzania wote wako Bongo??
 
 
Kwani hilo jina hawezi kuwa nalo mkenya?? Okee, okee tuseme ni mtanzania, sasa umejuaje kama yuko BOngo, kwani watanzania wote wako Bongo??
Kumbe hujui maana ya bongo? Pole sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…