binafsi nimesoma seminari kidato cha 1 hadi
sita...na kwasasa nipo katika moja wapo ya vyuo
vikuu Tanzania siku zote nimependa kufanya
kazi na watu wa usalama wa taifa....kwa yeyote
anaeweza kunisaidia jinsi ya kuingia nitafurahi
sana........
nashukuru kwa ushauri ila mimi nimesema usalama na sio huko ulipotaja...ndo mana muda mwingine mnafeli interview na mitihani kwa kujibu usichoulizwa..by the way all the best ktk kila ufanyacho mkuu