Usalama wa US Aids ukoje katika nchi zetu?

Full charge

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2018
Posts
1,678
Reaction score
1,617
Sorry wakuu mimi mdogo wenu kuna muda najiwazia tu.

Back to the point,Hivi hii misaada ya nchi za Magharibi inayokuja Afrika usalama wake ukoje?

Hapa namaanisha:net,vifaa vya uzazi wa mpango,vyakula,dawa nk. Mfano net zao tunaambiwa zimetiwa sumu ya kuua mbu ila sijawahi kukuta mbu chini wamekufa?

Je wazungu wana uchungu na upendo kwa Afrika kwa kiasi cha kutuletea vitu vizuri kiasi hicho au tunauliwa taratibu.Je wao hayo mavitu wanayatumia?🙏
 
Tuanzie kwanza mtumba uliovaa hapo.

Usalama wake ukoje?
 
Mfungwa hachagui gereza, by the way adui wa muafrika ni muafrika tu, wazungu unawaonea tu.
 
Sorry wakuu mimi mdogo wenu kuna muda najiwazia tu.

Back to the point,Hivi hii misaada ya nchi za Magharibi inayokuja Afrika usalama wake ukoje?

Hapa namaanisha:net,vifaa vya uzazi wa mpango,vyakula,dawa nk. Mfano net zao tunaambiwa zimetiwa sumu ya kuua mbu ila sijawahi kukuta mbu chini wamekufa?

Je wazungu wana uchungu na upendo kwa Afrika kwa kiasi cha kutuletea vitu vizuri kiasi hicho au tunauliwa taratibu.Je wao hayo mavitu wanayatumia?🙏
Aiseee mpaka wee kufka hyo umr wako ushalambwa chanjo ngap ukiwa mdogo ndy utajua msaada wao uko wap hapo
 
Back
Top Bottom